Barua kwa Imma: Samahani kwa Kukaa Kimya
Kwa: Emmanuel (Imma) — Huko UlipoKutoka: Elisante EphraimTarehe: Oktoba 17, 2025 Rafiki yangu Imma, Sijui kama barua hii itakufikia huko ulipo. Sijui kama kuna njia ya maneno yangu kukupata kule mbinguni, au popote roho zetu zinapoenda baada ya kuacha dunia…