Stories

Barua kwa Imma: Samahani kwa Kukaa Kimya

Kwa: Emmanuel (Imma) — Huko UlipoKutoka: Elisante EphraimTarehe: Oktoba 17, 2025 Rafiki yangu Imma, Sijui kama barua hii itakufikia huko ulipo. Sijui kama kuna njia ya maneno yangu kukupata kule mbinguni, au popote roho zetu zinapoenda baada ya kuacha dunia…

Dondosha Dude

Na KasongoUmri: 40Asili : Tunduma – Mangulueni “Nilikuwa Tayari Kumpiga Mama Kisu” Sikumbuki sura ya baba yangu. Alifariki nikiwa na miezi miwili tu. Mama alinileta Tanzania kutoka Zambia nikiwa bado mchanga, tukaanza maisha Tunduma kwenye majengo ya Mangulueni. Huko ndipo…

Mama Alikuwa Baba, Mtaa Ulikuwa Mwalimu

Ushairi wa Gifted SonUmri: 29 | Msanii wa Hip Hop | Dodoma Nilizaliwa Surprise,pale Chadulu,si mahali pa shangwe,bali mahali pa mshangao:unawezaje kuishi hapa na kubaki hai? Mama alikuwa baba,mtaa ulikuwa mwalimu,pombe ilikuwa biashara,na mimi nilikuwa mtoto,ndoto zikiwa bado mbali,lakini maisha…

Safari ya Njia za Panya

Jina: Johari MaseleMzaliwa: Msewe, Dar Es SalaamUmri: Miaka 53Kazi: Mfanyabiashara wa Zamani. Niliondoka nyumbani asubuhi, nikamwacha mama akinitazama kwa macho yaliyojaa hofu na matumaini. Mdogo wangu wa miezi saba nilimuaga kwa busu la haraka. Nilimwambia mama: “Naenda mbele kutafuta Maisha,…

Hadithi ya Kijana Aliyeingia Jela Bila Hatia

Hapo zamani za kale, kulikuwa na kijana mmoja jina lake Kennedy. Kijana huyu aliishi Morogoro, mji wenye milima ya kijani kibichi na mashamba ya mahindi na maharage. Alikuwa mtoto wa kiume pekee katika familia yake, akiwa na dada zake wawili.…

Hatupokei Watoto Viziwi

Na Doricas Singano – NLF AlumniSimu: 0763 826 912Tarehe: 28/06/2025Umri: Miaka 30+Kazi: Mkaguzi wa FedhaMakazi: Dar es SalaamAsili: Tanzania Nilikuwa hospitali ya mkoa wa Morogoro hivi karibuni, Nikifanya ukaguzi wa stoo ya dawa ya hospitali. Baada ya kumaliza tukawa tunatoka…

Barua Kutoka Tanzania ya Sasa kwenda Ijayo

Imeandikwa na: Frank SelebwaUmri: 31Kazi: Dereva BajajiMakazi: Dar es Salaam, Tanzania Mpendwa Tanzania ya Kesho, Ninakuandikia barua hii nikiwa ndani ya bajaji yangu, nikisubiri abiria kwenye jua la mchana wa Dar es Salaam. Barabara zimenifundisha mengi kuliko vitabu. Vumbi, kelele,…

Tulisaidia Wote, Lakini Tulibaki Peke Yetu

Na Mary Nicas ManyaUmri: Miaka 33Kazi: Mtawa wa kikeMakazi: Ubungo Msewe, Dar Es SalaamAsili: Tabora / Dar Es Salaam “Sisi watoto wa professor” “Baba yangu alikuwa profesa. Alijua lugha zaidi ya kumi. Alifundisha Kiswahili Chuo Kikuu. Alizawadiwa na Waziri Mkuu…

Nilitaka Kuwa Rubani, Nikawa Daktari Kiganjani

Jina: Dr. Ayoub MsalilwaUmri: 35Kazi: Daktari na Mwanzilishi wa Daktari KiganjaniMakazi: Dar es Salaam, Tanzania Swali: Je,Ulijua tangu mwanzo kwamba utakuwa daktari? Dr. Ayoub: Hapana. Nilipokuwa mdogo, nilitaka kuwa rubani. Nilikuwa na ndoto ya kupaa. Lakini maisha, kama yalivyo kwa…

Wanasema Uchaguzi Ukiisha Watarudi

By Wafanyabiashara wa Mtaani, MwanzaUmri: Kati ya miaka 25–40Kazi: Wamachinga, Wauzaji wa MtaaniMakazi: Mwanza Tuliondoka Kijijini Tukitafuta Riziki Tuliondoka vijijini kwa sababu ya njaa, kwa sababu ndoto zetu zilihitaji miji mikubwa ili zitokee. Tulikuja Mwanza tukiwa na matumaini, tukiwa vijana…